Sunday, August 18, 2013

UZINDUZI WA VIDEO YA YAHAYA YA LADY JAYDEE WATU FULL KUJIACHIA, FEZA KESSY HAWA MGENI RASMI.










feza-kessy2
vanessafeza-kessy1mkolonivanessafeza 
Video ya Yahaya  ya Lady Jaydee ilizinduliwa rasmi jana pande za nyumbani lounge. Baadhi ya wasanii kama Feza Kessy ambaye alikuwa mgeni rasmi, Vanessa Mdee  na  Mkoloni...

Pamoja  na  kuwa  mgeni  rasmi, Feza  anadaiwa  kuwa  miongoni  mwa  wasanii  waliokuwa  wamevaa  vibaya....

Vazi   lake  lilikuwa  likiyaanika  matiti  yake  hadharani, hali  ambayo  iliwafanya  hata  watoto  wayashuhudie.

No comments:

Post a Comment