Friday, May 20, 2016

ATENGULIWA UWAZIRI BAADA YA KUINGIA BUNGENI NA KUJIBU MASWALI AKIWA AMELEWA MH CHARLES KITWANGA

Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mh. Charles Kitwanga

Rais John Pombe Magufuli Atengua Uteuzi wa Waziri Wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga Baada Ya Kuingia Bungeni Akiwa Amelewa.

No comments:

Post a Comment