Tuesday, May 24, 2016

CDF CUP - 2016 YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM NA WAZIRI NAPE NNAUYE



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga penati ikiwa ishara ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. 





Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Tembo pamoja na Kombaini ya JKT mara baada ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment