Sunday, May 29, 2016

NAPE AKUTANA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE, ATETA KUHUSU MAENDELEO,

Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe . Nape Nnauye akiongozana na wanakijiji wa kilimanjaro kata ya Mtumbya tayari kwenda kujionea  ujenzi wa Zahanati Kijijini hapo.








SOURCE: MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment