Friday, June 17, 2016

TIMU YA TAIFA YA UJERUMANI YATOSHANA NGUVU NA TIMU YA TAIFA YA POLAND


Arsenal midfielder Ozil reacts to being shown a yellow card by Dutch referee Bjorn Kuipers for a foul on Krychowiak





Jerome Boateng (kulia) wa Ujerumani akipambana na mchezaji mwenzake wa Bayern Munich, Robert Lewandowski wa Poland katika mchezo wa Kundi C Euro 2016 uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Stade de France mjini Paris, Ufaransa. 
Bayern Munich forward Thomas Muller (right) and Poland defender Pazdan challenge for the ball on the edge of the box

Licha ya ujerumani kunaza mchezo huo kwa kasi lakini ikishindwa kumalizia kuweka mpira kwenye nyavu, huku kwa upnde wa timu ya Poland wakianza kwa kujilinda na jkuja kuabadilika kipindi cha pili cha mchezo na kuanza kushambulia kama walivyokuwa wanafanya Ujerumani, Sare hiyo imefurahisha zaidi Poland kwani baada ya mchezo kumalizika walikuwa wanashnagilia wakiongozwa na kocha pamoja na mashabiki wao walifurika uwanjani hapo ambapo ukiwa unaendelea waliokuwa kimya. 

Ujerumani sasa inaongoza kundi hilo kwa wastani wa mabao ikiwa na pointi nne sawa na Poland, wakati Ireland ya Kaskazini ni ya tatu kwa pointi zake tatu na Ukraine inashika mkia ikiwa haina pointi


No comments:

Post a Comment