PICHA ZA MAZISHI YA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, MZEE ABOUD JUMBE MWINYI
Wananchi wakibeba jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, Raisi Mstaafu wa awamu ya pili ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika leo mchana nyumbani kwake Migombani Unguja
No comments:
Post a Comment