
Kiungo wa Marekani, Jermaine Jones akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Costa Rica kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Copa America mjini Chicago alfajiri ya leo. Mabao mengine ya Marekani yamefungwa na Clint Dempsey, Bobby-Wood na Graham-Zusi..
No comments:
Post a Comment