Tuesday, July 29, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA HAWA CAMERA MAN WA MUDA

Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Mizengo Pinda akiwapiga picha viongozi wenzake waliokuwa wanapiga picha ya pamoja.

Kuonesha kuwa nae ni mtaalamu wa upigaji picha za still, waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiseti mwanga tayari kwa kuwapiga picha viongozi wenzake ambao walikuwa wanapiga picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment