Magoli ya mawili ya beki wa Kagera sugar Salum Kanoni yamefufua matumaini ya timu hiyo kubakika ligi kuu msimu wa 2016/2017, baada ya kuifunga Stand united goli 2-1 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga.
Katika mchezo huo ambao Kagera sugar walikuwa wanitaji ushindi wa namna yoyote ile, ili wafufue matumaini ya kubaki ligi kuu ya vodacom.
Goli pekee la Stand united katika mchezo huo lilifungwa na Amir Kiemba na kupelekea mchezo kumalizika kwa Kagera Sugar kuibuka na ushindi wa goli 2-1.
Katika mchezo mwingine uliochezwa katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya Tanzania Prisons imeibuka na ushindi wa goli 1-0 mbele ya Totot Africans, Goli la timu ya Tanznaia Prisons liliwekwa kimiani na mshambualji wake Jeremiah Juma.

MATOKEO YA MICHEZO YA JUMAPILI 15/05/2016
MWADUI FC 1-1 MBEYA CITY FCT.PRISONS 1-0 TOTO AFRICANS
MTIBWA SUGAR 0-1 SIMBA SC
AFRICAN SPORTS 1-2 AZAM FC
KAGERA SUGAR 2-1 STAND UNITED
No comments:
Post a Comment