
Mchezaji wa kulipwa wa timu ya Young Africans ambaye ni raia wa burundi Amiss Tambwe ameibuka mfunguji bora wa ligi kuu ya vodocom Tanzania bara baada ya kufikisha magoli 21 ya kufunga.
MATOKEO YA MICHEZO YA LEO
MAJIMAJI 2-2 YANGA SCAZAM FC 1-1 JKT MGAMBO
SIMBA SC 1-2 JKT RUVU
COASTAL UNION 0-2 T.PRISONS
MWADUI FC 0-2 KAGERA SUGAR
MTIBWA SUGAR 2-0 AFRICAN SPORTS
TOTO AFRICANS 0-1 STAND UNITED
MBEYA CITY 0-0 NDANDA FC
MWISHO:
No comments:
Post a Comment