Saturday, June 4, 2016

HASHEEM THABEET ATOA MAFUNZO YA MCHEZO WA KIKAPU KWA VIJANA ZAIDI YA 100 JIJINI DAR ES SALAAM




Vijana zaidi ya 100 wapatiwa mafunzo ya mchezo wa kikapu jijini Dar es Salaam chini ya mchezjai wa kimataifa wa mchezo huo anayecheza ligi ya NBA nchini Marekani Hasheeem Thabeet iliyokuwa inaendelea katika viwanja vya JMK PARKS.

No comments:

Post a Comment