TV 288 ZAKAMATWA CHOONI KATIKA BANDARI YA KILWA KWA LENGO LA KUKWEPA KODI..
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa na na Kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo wanasa luninga (TV) 288 zilizofichwa chooni katika Bandari ya Kilwa Mkoani Lindi kwa lengo la kukwepa kodi.
Taarifa kamili itakujia Muda si Mrefu..............!!!
No comments:
Post a Comment