Thursday, August 24, 2017

WATU SABA WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA BUS KUPINDUKA KATIKA MILIMA YA NDOLOLO


NA, PETER LAURENCE
MOROGORO
24/08/2017


Watu Saba wamefariki Dunia  wengine 38 wakijeruhiwa wilayani Ulanga Mkoani Morogoro mara baada ya Bus walilokuwa wakisafiria   kupinduka katika Milima ya Ndololo, huku miili ya watu hao waliofariki dunia ikihifadhiwa katika  chumba cha mahiti cha hospitali ya wilaya ya Mahenge.






Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa hospitali ya wilaya ya ulanga, waliofariki sita ni wanaume na mmoja ni mwanamke,huku basi lililopata ajali likijulikana kwa jina la Mfundo ambalo lilikuwa likitokea Ilonga kuelekea Morogoro.




MWISHO:  

No comments:

Post a Comment